Kurunzi: Ligi ya soka ya wanawake

Sunday May 30, 2010

Mtoto azaliwapo huwa ni furaha katika jamii na apopata malezi mema na ufanisi maishani huwa ni furaha kubwa kwa jamii. Ligi ya kitaifa ya wanawake itaanza Juni 5,2010, na timu zitakazopata fursa ya kuandika historia ya kuwa timu za kwanza katika ligi hiyo ni kumi na mbili.